RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa watanzania kuchukua tahadhari za kujikinga ili wasipate maambukizo ya corona ambapo tayari corona wimbi la tatu imeingia nchini.
Mwakilishi wa Balozi wa Marakeni nchini Tanzania Jermey Divis na Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema wamezindua msaada wa basikeli 15 zilizogharimu shilingi milioni 3.7 ambazo zimetolewa kwa wahudumu wa kujitolea ngazi ya Jamii mkoani Ruvuma ili kuwasaidia kufuatilia kutuoa huduma kwa kaya masikini 120 zenye watoto 423 kutoka Halmashauri za Nyasa,Madaba na Songea
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.