Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme anatoa taarifa ya mwenendo wa virusi vya Corona katika Mkoa w Ruvuma ambapo amesema Mkoa unaendelea vizuri.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme leo Mei 21 mwaka huu amegawa vitambulisho 9000 vya wajasiriamali wadogo vilivyotolewa na Rais mwaka huu ambapo Mkoa wa Ruvuma kwa mwaka huu umepangiwa kugawIwa vitambulisho 58,000.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.