Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amemaliza ziara ya kikazi mkoani Ruvuma kwa kukagua ukarabati wa kiwanja cha ndege Songea ambapo serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 37 kukkarabati kiwanja hicho ambacho ndege ya kwanza ya ATCL inatarajia kutua Januari 15 mwaka huu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua safari za meli mpya ya abiria katika ziwa Nyasa kutoka Kyela mkoani Mbeya hadi Mbambabay wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma
Waziri Mkuu amekagua mradi wa kiwanja cha ndege cha Songea ambacho serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 37 kukarabati kiwanja cha ndege Songea
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.