KONGAMANO la wanawake kanda ya kusini kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani limefunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme aliyewakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Isabela Chilumba.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekagua mradi wa daraja la Ruhuhu linalounganisha wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma na Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe.Ujenzi wa daraja hilo lenye urefu wa meta 98 umesimama kutokana na mafuriko ya mto Ruhuhu.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.