Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekabidhiwa rasmi Tuzo ya kitaifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora baada ya Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma kushika nafasi ya kwanza Tanzania katika utendaji bora
Sasa wagonjwa kupata huduma bobezi za kibingwa ndani ya Mkoa wa Ruvuma hii ni baada ya Serikali kupitia Wizara ya Afya imekabidhi vifaa hivyo katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma hali ambayo itawezesha wananchi kupata huduma bobezi za kibingwa ndani ya mkoa
alengwa waliotakiwa kupata chanjo ya polio ni 241,966 waliochanjwa ni 293,543 sawa na asilimia 112
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.