MTAZAMA Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme kwa niaba ya wakulima wa Mkoa wa Ruvuma akimshukuru Rais Dkt John Magufuli kwa kuwajali wakulima
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma christina Mndeme amesema mkoa wa Ruvuma unaongoza kwa uzalishaji wa mazao ya Chakula nchini ukiwa na ziada zaidi ya tani 8,000
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amemshukuru Rais John Magufuli alivyoubadilisha Mkoa wa Ruvuma katika miundombinu mbalimbali.Alikuwa anazungumza kwenye mkutano maalum wa Baraza la wafanyakazi wa TANROAD Taifa uliofanyika mkoani Ruvuma.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.