Wakala wa vipimo mkoani Ruvuma wametoa mafunzo kwa wadau kuhusu uelewa wa matumizi sahihi ya vipimo
Meli ya MV Mbeya II ikiwa na abiria 87 imekwama katika eneo la Matema ziwa Nyasa wilayani Kyela ikiwa njiani kuelekea Bandari ya Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma baada ya kupigwa na mawimbi mazito kisha kupoteza uelekeo. Mkuu wa Wilaya ya Kyela Claudia Kita amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.Hata hivyo amesema abiria wote wapo salama.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.