Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekutana na wanahabari kueleza mafanikio ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amewataka walimu na wadau wa elimu waweke msingi wa utawala bora kwenye maeneo ya shule.
Akizungumza katika kikao cha tathmini elimu klichofanyika kwenye ukumbi wa Songea Girls,amesema anayo nia, kiu na malengo ya kuhakikisha sekta ya Elimu Mkoani Ruvuma inapata maendeleo yanayostahiki
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.