Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Mei, 2020 ameshiriki ibada ya jumapili ya tano baada ya Pasaka katika kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania ( KKKT) usharika wa Chato mkoani Geita.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekabidhi Pikipiki 20 kwa maafisa Tarafa Mkoa wa Ruvuma ikiwa ni ahadi ya Rais Dkt John Magufuli aliyoitoa Alipokutana na maafisa hao kutoka nchi nzima Ikulu Jijini Dar es salaam mwaka jana.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesikitishwa na Halmashauri ya Manispaa ya Songea kupata Hati yenye mashaka katika ukaguzi wa CAG wa mwaka 2018:2019 na ameagiza wote waliosababisha wachukuliwe hatua.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.