Shirika la ndege la ATCL limerejesha Safari za ndege mkoani Ruvuma baada ya kukamilisha ukarabati wa kiwanja cha ndege songea uliogharimu shilingi bilioni 37.
Baraza la madiwani Halmashauri ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma limeazimia kushughulika na wasimamizi wa elimu kwa kushindwa kusimamia Elimu na kusababisha Halmashauri kushika mkia kati ya Halmashauri nane za Mkoa wa Ruvuma kwenye matokeo ya darasa la saba 2020 kwa kufaulisha kwa asilimia 66.66.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.