WAZIRI wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Wazee,Jinsia na watoto Ummy Mwalimu ametoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wa corona nchini ambayo imefikia watu 19
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Amon Mpanju amemwakilisha Waziri wa Katiba na Sheria kwenye uzinduzi wa zoezi la usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano mkoani Ruvuma.Zoezi hilo limeanza tangu Machi 20,2020 ambapo katika Mkoa mzima watoto 240,000 wanatarajia kupata vyeti vya kuzaliwa bure.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.