Mkoa wa Ruvuma umepangiwa na serikali kununua zao la mahindi kiasi cha tani 70,000 kwa bei ya shilingi 550 kwa kilo kupitia Wakala wa Usalama wa Chakula wa Taifa NFRA.
Maonesho ya nanenane ngazi ya Mkoa wa Ruvuma yanayofanyika kwenye viwanja vya nanenane Msamala mjini Songea yamekuwa yanavutia wengi.Banda la kuku kuchi limekuwa linavutia wengi wanatembelea maonesho hayo mwaka huu.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.