Rais Dkt John Magufuli amemteua aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Profesa Riziki Shemdoe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia,wazee na Watoto anazungumzia hofu ya kusambaa kwa virusi vya corona ambavyo vinatajwa kusambaa karibu majimbo yote ya China
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme ameiomba benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania (TADB) kufungua tawi la benki hiyo katika mkoa huo pamoja na kuanzisha viwanda vya kuchakata mazao.Mndeme amesema kuwepo kwa benki hiyo kutawasaidia wakulima wa mkoa huo kukopa pesa na kuziingiza katika kilimo na kuwainua kiuchumi na uwepo wa viwanda kutasaidia kuongeza mnyororo wa thamani pamoja na kutoa fulsa ya ajira kwa wananchi wa Ruvuma.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.