Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Oddo Mwisho imekagua mradi wa maji Likuyusekamaganga wilaya ya Namtumbo ambao umegharimu shilingi bilioni 3.5
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma imetoa wiki moja kwa TANESCO Ruvuma kupeleka umeme kwenye mradi wa maji Madaba ili uanze kuhudumia wananchi maji safi na Salama.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.