Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amefungua tamasha la Majimaji Selebuka kwenye viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea.Tamasha hilo lilianzishwa mwaka 2014 na mwaka huu ni tamasha la nane kufanyika mkoani Ruvuma ambalo linatarajia kuanza Julai 23 hadi 30 mwaka huu.
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.