Imewekwa kuanzia tarehe: January 23rd, 2025
Muonekano kutoka juu wa shamba la Miti Wino lililopo katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma
Hifadhi ya msitu wa Wino iliyopo katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani ...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 23rd, 2025
Wanafunzi 76,962 kutoka shule 102 katika Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, wanatarajiwa kupatiwa dawa za kinga dhidi ya magonjwa ya minyoo ya tumbo na kichocho.
Zoezi hilo linafanyika kwa siku mbi...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 23rd, 2025
UBORESHAJI wa daftari la kudumu la wapiga kura katika Jimbo la Tunduru Kusini na Kaskazini linatarajiwa kuanza tarehe 28 Januari 2025 hadi 3 Februari 2025. Wananchi wote wanahimizwa kushiriki kikamili...