Imewekwa kuanzia tarehe: January 2nd, 2023
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa Khamis Hamza Khamis ameagiza hatua kali za kisheria kuchukuliwa kwa wote wanaomwaga madini ya makaa ya mawe barabarani na kuchafua...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 1st, 2023
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa David Silinde ameagiza uongozi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha zoezi la usajili wa wanafunzi linakamilika kabla ya Januari 9,2023.
Ametoa agizo...