Imewekwa kuanzia tarehe: March 19th, 2021
JUMLA ya shilingi milioni 196 zimetolewa na serikali kutekeleza miradi ya ujenzi katika shule ya Sekondari Mahanje iliyopo Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 15th, 2021
Halmashauri ya wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma imeingia mkataba na kampuni ya West Food Comp LTD ya kutoka Makambako Mkoani Njombe kwa ajili ya kukusanya ushuru wa mazao.
Makubaliano ya mkataba huo ...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 15th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema serikali inakwenda kutekeleza mradi mkubwa unaofadhiliwa na nchi ya India ambao unakwenda kumaliza kero ya maji katika Manispaa ya Songea.
A...