Imewekwa kuanzia tarehe: February 14th, 2025
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma kwa kauli moja limepitisha rasimu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 32.
Mkurugenzi...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 14th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma Mheshimiwa Ngollo Malenya, amempokea Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea, Mheshimiwa Jaji James Karayemaha, katika kikao cha Kamati ya Maadili ya Ma...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 14th, 2025
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, ameahidi kupambana na wafanyabiashara wanaokwepa kodi ili kulinda haki ya walipa kodi waaminifu. Amesema hatua hiyo inalenga kuhakikis...