Imewekwa kuanzia tarehe: July 18th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ametoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015/2020 katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Parokia ya Bombambili mjini Songea .
Uchumi na pato ...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 15th, 2020
Kaimu Meneja wa wa MBIFACU Henrick Ndimbo amesema upanuzi wa shamba la kahawa Ugano umelenga kuimarisha vitega uchumi wa MBIFACU na kuongeza mapato ya chama hicho ili kuweze kujitegemea na kuimarisha ...