Imewekwa kuanzia tarehe: November 22nd, 2023
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde anaendelea na ukaguzi wa miradi ya elimu katika Mkoa wa Ruvuma.
Imemlazimu Dkt Msonde wa kwanza kulia picha ya juu...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 22nd, 2023
Katikati pichani Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde akikagua mradi wa ujenzi sekondari ya Dkt Lawrence Gama inayojengwa katika Kata ya Msamala Manispaa ...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 22nd, 2023
Pichani wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde akizungumza na baadhi ya watumishi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma baada ya kukagua mr...