Imewekwa kuanzia tarehe: July 18th, 2023
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho ametoa rai kwa wawekezaji mbalimbali katika jimbo la Peramiho kuendelea Kufanya uwekezaji wenye tij...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 18th, 2023
WAKULIMA wa zao la korosho katika kijiji cha Mtonya kata ya Mindu wilayani Tunduru,wamemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa bure pembejeo na dawa(Sulphar) za kupulizia mashamba ya korosho.
W...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 17th, 2023
MKuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas anatarajia kuwa mgeni rasmi katika kikao cha mwaka 2022/2023 cha tathmini ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe ngazi ya Mkoa ambacho kinatarajia kufanyika kati...