Imewekwa kuanzia tarehe: January 26th, 2024
SERIKALI imetenga kiasi cha shilingi Bilioni 96 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Lituhi kuelekea Bandari ya Ndumbi yenye urefu wa kilometa 50 kwa kiwango cha lami.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Uj...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 26th, 2024
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua Daraja la Ruhuhu lenye urefu wa mita 98 ambalo linaunganisha Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma na Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe ambalo limekuwa mkombozi kwa ...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 26th, 2024
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa Mhandisi Mshauri LEA Associaties anayesimamia ujenzi wa barabara ya Kitai – Lituhi sehemu ya Amani Makoro-Ruanda (km 35) kwa kiwango cha la...