Imewekwa kuanzia tarehe: April 8th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, Juma Mnwele ameongoza Timu ya Wataalamu wa Halmashauri hiyo na kufanya ziara ya kutembelea Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kujionea namna miradi...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 8th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imepokea Mbegu Elfu Arobaini (40,000) za Michikichi kutoka Taasisi ya Utafiti TARI iliyopo Kihinga Mkoani Kigoma, ili kuanzisha kitalu cha miche na kusambaza kwa Wakulim...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 8th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Isabela Chilumba, ametembelea na kukagua, Mradi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA, Wilaya ya Nyasa ambao uko hatua za Mwisho za ukamilishaji.
Mh. Chilumba amekagua mradi huu...