Imewekwa kuanzia tarehe: June 2nd, 2023
MNADA wa kwanza katika zao la ufuta umefanyika katika kijiji cha Lukumbule Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma ambapo jumla ya kilo 857,977.70 za ufuta zimeuzwa kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani.
...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 2nd, 2023
WANAFUNZI wa shule ya Sekondari Mataka kata ya Mchangani katika Halmashauri ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma,wameiomba serikali kukamilisha haraka ujenzi wa bweni ili kuwaondolea kero ya kulala k...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 1st, 2023
WAKULIMA wa Halmashauri ya Wilaya Namtumbo mkoani Ruvuma wameishukuru na kuipongeza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt, Samia Suhulu Hassan kwa kuboresha uuzaji wa mazao kupitia Mfumo ...