Imewekwa kuanzia tarehe: January 20th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Pololet Mgema amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Madaba kwa kushirikiana na watendaji wa kata kuanza msako wa nyumba kwa nyumba kuwatafuta wanafunzi wa sekonda...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 20th, 2023
MKUU wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Pololet Mgema amesema hadi kufikia Desemba 10,2022 Wilaya ya Songea ilikuwa imekamilisha ujenzi wa madarasa 96 na samani zake vilivyogharimu shilingi bilioni ...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 20th, 2023
serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 37 kwa ajili ya ukarabati na upanuzi wa kiwanja cha ndege cha Songea kazi ambayo hadi sasa imefikia zaidi ya asilimia 97...