Imewekwa kuanzia tarehe: October 20th, 2023
Mafundi wameiomba kamati ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari kata ya Upolo Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma kuwaongezea muda wa utekelezaji wa mradi huo kutokana na miundombinu mibovu ya bar...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 19th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameagiza vituo vyote vya afya vilivyokamilika na vyenye vifaa vianze kazi ya kutoa huduma za afya kwa wananchi.Kanali Thomas ametoa agizo hilo wakati a...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 19th, 2023
Na Albano Midelo,Songea
WAKULIMA mkoani Ruvuma hadi kufikia Juni 2023,wamefanikiwa kuvuna tani 1,870,800 za mazao ya chakula,biashara na bustani zilizolimwa katika hekta 897,171.
Hayo yamesemwa ...