Imewekwa kuanzia tarehe: October 13th, 2022
SERIKALI imetoa shilingi bilioni tatu kujenga shule ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma katika eneo la Migelegele Wilaya ya Namtumbo.Shule hiyo inatarajia kuanza kuchukua wanafunzi Januari 2023....
Imewekwa kuanzia tarehe: October 13th, 2022
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amemtaka mkandarasi wa kampuni Associates LTD kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara ya Matomondo-Mlale JKT, ambayo inayojengwa katika Halmashauri ya Wilaya ya ...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 12th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amekagua mradi wa sekondari maalum ya wasichana Mkoa wa Ruvuma inayojengwa eneo la Migelegele Wilaya ya Namtumbo.
kanali Thomas ameagiza kasi ya ujenzi wa...