Imewekwa kuanzia tarehe: July 19th, 2022
WAKULIMA wanaouza mazao yao kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani wanatarajia kuanza kupata pensheni ya uzeeni.
Mkurugenzi wa Bodi ya Usimamizi wa Mfumo wa stakabadhi ghalani nchini Asangye Bangu Aki...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 18th, 2022
Chama Kikuu cha Ushirika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma (MBIFACU) kimefanikisha ukusanyaji wa zao la kahawa kavu hadi kufikia zaidi ya tani 20,000 katika msimu wa mwaka 2021/2022.
Akizungumza wakat...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 17th, 2022
Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imefanikiwa kukusanya ufuta zaidi ya tani 2300 kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani.
Hayo yamesemwa na Meneja wa Ghala la Chama Kikuu cha Ushirika Tunduru (TAMCU) Sar...