Imewekwa kuanzia tarehe: January 17th, 2021
BARAZA la Mitihani Tanzania NECTA limesisitiza kuwa wanafunzi waliofeli mitihani ya upimaji katika darasa la nne na kidato cha pili watakariri.SOMA habari kwa kina hapa https://www.habarileo.co....
Imewekwa kuanzia tarehe: January 16th, 2021
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa rai kwa wanaruvuma kufanya utalii wa ndani ili kuboresha utalii ndani na nje ya Mkoa wa Ruvuma.Alikuwa anazungumza na wadau wa Kamati ya Ushauri wa Mkoa ...