Imewekwa kuanzia tarehe: February 16th, 2022
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuige akiwa ameongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama wamekagua daraja la Muhuwesi lililopo wilayani Tunduru,ambalo limeharibiwa na mvua za masika zi...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 15th, 2022
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amezindua Operesheni ya uwekaji wa anwani za makazi na postikodi .
Uzinduzi huo umefanyika katika Manispaa ya Songea mara baada ya kikao na wa...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 14th, 2022
WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) kinatarajia kutoa mafunzo kwa watoa huduma za utalii Mkoani Ruvuma.
Mafunzo hayo yanatarajiwa kufanyika kwa siku tano katika Ma...