Imewekwa kuanzia tarehe: October 21st, 2021
UTEKELEZAJI wa mapitio ya mpango wa upangaji wajasirimali wadogo (Machinga) katika maeneo rasmi ya kufanyia biashara, mkoani Ruvuma utafanyika kwa kipindi cha miezi mitatu.
Haya yamesemwa na Mkuu w...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 20th, 2021
MKOA wa Ruvuma umepokea shilingi bilioni 12.7 sawa na asilimia 2.4 ya shilingi bilioni 635.68 ambazo zimeidhinishwa na TAMISEMI kwa ajili ya uboreshaji wa sekta ya Afya,Elimu na Uwezeshaji wananchi ki...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 19th, 2021
MKOA wa Ruvuma umefanikiwa kumaliza chanjo ya kwanza ya UVIKO 19 iliyotolewa na serikali ya Awamu ya sita kwa kuchanja watu 44,000.
Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma aliyewakilishwa n...