Imewekwa kuanzia tarehe: October 25th, 2021
Wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla wamekumbushwa kulipa kodi kwa wakati kwasababu kodi hiyo hurudi kwao kupitia miundombinu na miradi mbalimbali ya maendeleo.
Wito huo ambao awali ulitolewa na ...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 24th, 2021
Timu ya RAS Ruvuma imeifunga timu ya Wizara ya Mambo ya Nje katika mpira wa pete (Netball ) j kwa jumla ya mabao 29 kwa 24 kwenye mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea mkoani morogoro ...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 24th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amewaagiza wataam wa afya kuhakikisha elimu ya chanjo Mpya ya UVIKO 19 aina ya sinopharm inatolewa kwa wananchi ili wapate uelewa kabla ya kuamua...