Imewekwa kuanzia tarehe: November 22nd, 2022
Mkataba wa ujenzi wa mradi wa maji Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ambao unagharimu zaidi ya shilingi bilioni 5.5
Mkataba huo wa mwaka mmoja unatekelezwa kati ya R...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 22nd, 2022
Mradi wa ujenzi hospitali ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,mradi huo unatekelezwa katika Kata ya Tanga ambapo serikali imetoa shilingi milioni 500 kuanza utekelezaji wa mradi huo....
Imewekwa kuanzia tarehe: November 22nd, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amesema Serikali imekusudia kumuondelea mgizo wa gharama Mkulima kwa kuleta mbolea za ruzuku
Hayo ameyasema katika mnada wa pili wa korosho ulio...