Imewekwa kuanzia tarehe: April 6th, 2021
Na Albano Midelo
NCHI ya Tanzania wakati huo ikiwa chini ya uongozi wa Rais wa Awamu ya Kwanza Hayati Mwl.Julius Nyerere ilishiriki kikamilifu kwenye harakati za ukombozi kusini mwa Afrika.
Nchi...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 5th, 2021
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameishukuru serikali kwa kutoa shilingi bilioni saba ili kutekeleza miradi ya maji mkoani Ruvuma.Soma habari zaidi hapa https://www.habarileo.co.tz/habari/2021-...