Imewekwa kuanzia tarehe: March 24th, 2025
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Komred Oddo Mwisho, amewataka viongozi wa chama hicho kuepuka migogoro na badala yake kuelekeza nguvu zao katika kuwahudumia wananchi.
Ametoa...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 23rd, 2025
Na Albano Midelo
Katika jitihada za kuinua ubora wa elimu nchini Tanzania, Idara ya Uthibiti Ubora wa Shule inaendelea kuwa nguzo muhimu katika kuhakikisha viwango vya elimu vinaimarika.
Idara h...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 23rd, 2025
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, kimepongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa juhudi zake katika kuboresha maslahi ya walimu.
Juhudi hizo zinajumuisha kupandisha mada...