Imewekwa kuanzia tarehe: March 19th, 2023
MIAKA MIWILI YA RAIS DKT SAMIA MADARAKANI SEKTA YA ANGA RUVUMA
Bilioni 37 zllivyotekeleza mradi wa upanuzi na uboreshaji kiwanja cha Ndege Songea Mradi wafikia zaidi ya asilimia 98 ...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 19th, 2023
Serikali Inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya tani 65,000 kwa Wakulima wa Mkoa wa Ruvuma kati ya tani 67,000 zinazotalajiwa kwa msimu wa kilimo wa 22/23...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 18th, 2023
Serikali Inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi bilioni 7.7 kujenga sekondari mpya 11 za mfano na zenye mazingira ya kuvutia kwa walimu na wanafunzi katika Mkoa wa Ruvuma...