Imewekwa kuanzia tarehe: December 28th, 2021
Serikali imetoa jumla ya shilingi bilioni 1.76 kwa shule 30 za sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kujenga madarasa mapya 88 ambayo yamekamilika na yanatarajia kuanza kuchuk...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 27th, 2021
HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ni miongoni mwa Halmashauri zilizofanikiwa kukamilisha madarasa mapya 65 kati ya hayo madarasa 46 ni shule za sekondari na madarasa 19 ya shule shikizi za...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 26th, 2021
SERIKALI kupitia fedha za UVIKO imetoa shilingi milioni 100 kujenga madarasa matano katika shule Shikizi ya Msingi Ligunga Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani RUVUMA.
...