Imewekwa kuanzia tarehe: December 15th, 2020
KIKAO cha kwanza cha kuapisha madiwani wapya wa Baraza la Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma limefanyika katika jengo jipya la Halmashauri hiyo ambalo serikali ya awamu ya Tano inayoo...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 14th, 2020
WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhemishiwa Seleman Jafo anatarajia kuanza ziara ya kikazi mkoan i Ruvuma kuanzia Desemba 16 mwaka huu.Kulingana na &n...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 14th, 2020
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameagiza matangazo ya vivutio vya utalii vilivyopo mkoani Ruvuma yawekwe katika kiwanja cha ndege cha Songea ili viweze kufahamika kwa watalii watakaokuwa...