Imewekwa kuanzia tarehe: April 20th, 2021
KAMATI ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma imetoa wiki moja kwa TANESCO kuhakikisha wanapeleka umeme kwenye mradi wa maji Madaba wilayani Songea ili wananchi waanze kunufaika na maji safi na salama.
Aki...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 20th, 2021
Watumishi 12 wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga wamezeshwa pikipiki ikiwa ni jitihada za Halmashauri hiyo katika kutatua changamoto ya usafiri na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Mkuu wa Wi...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 20th, 2021
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema hivi sasa soko la zao la soya ni kubwa mkoani Ruvuma ambapo wanunuzi wa ndani pekee wanahitaji zaidi ya tani 200,000 ya zao hilo wakati uzalishaji wa za...