Imewekwa kuanzia tarehe: November 16th, 2023
SERIKALI imetoa shilingi bilioni 1.55 ili kurejesha sehemu yake daraja la Muhuwesi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma
Daraja hilo lilipata hitilafu kutokana mvua za masika kwenye mto Muhuwesi.
...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 16th, 2023
HIFADHI ya Misitu Wino Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Mkoa wa Ruvuma inajumla ya hekta 39,718 zilizoundwa kwa safu tatu Ifinga,Mkongotema na Wino.
Akisoma taarifa hiyo Meneja wa Shamba la Miti Win...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 16th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Songea Ndg Neema M Maghembe amewasisitiza Maafisa kilimo wote ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea kuhakikisha wanapima afya ya udongo kwa wakulima b...