Imewekwa kuanzia tarehe: February 23rd, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewashauri watanzania kuenzi,kutunza na kuendeleza urithi wa utamaduni wa asili kwa ajili ya manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.
Kanali Thomas a...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 22nd, 2024
Kongamano la mashujaa wa vita ya majimaji mwaka huu linatarajia kufanyika Februari 25 mjini Mbambabay Wilaya ya Nyasa
kumbukizi ya mashujaa wa Majimaji mwaka huu itazinduliwa na Mkuu wa Mkoa ...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 22nd, 2024
WATUMISHI wa Halmashauri ya Madaba wilaya ya Songea Mkoa wa Ruvuma wamepewa mafunzo ya kodi ya zuio katika mfumo ulioboreshwa..
Mafunzo hayo yametolewa na Mhasibu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa...