Imewekwa kuanzia tarehe: October 8th, 2021
SHIRIKA la kimataifa la Uhifadhi (WWF),limetoa elimu na vifaa katika vijiji vitano vilivyoathirika na tembo waharibifu wa mazao Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma,ili kuwadhibiti wanyama hao.
Mh...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 8th, 2021
MAADHIMISHO ya siku mbolea duniani yanatarajiwa kufanyika mkoani Ruvuma kuanzia Oktoba 11 hadi 13 mwaka huu....
Imewekwa kuanzia tarehe: October 7th, 2021
SHIRIKA la kimataifa WWF limetoa elimu na vifaa kwa kukabiliana na tembo waharibifu katika vijiji vitano vilivyopo Halmashauri ya Namtumbo mkoani Ruvuma.
Akizungumza wakati anamkabidhi vifaa hivyo,...