Imewekwa kuanzia tarehe: April 23rd, 2023
KIONGOZI wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim amefungua mradi wa ujenzi wa maabara ya kisasa katika hospitali ya Rufaa ya Misheni ya Peramiho Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ikiyogh...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 23rd, 2023
Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mheshimiwa Aziza Mangosongo katika eneo la Kitai Wilayani Mbinga.
Mwen...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 23rd, 2023
Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 umeridhia miradi yote tisa iliyotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma yenye jumla ya shilingi milioni 861.
Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa ...