Imewekwa kuanzia tarehe: August 29th, 2023
WATAALAM 48 kutoka Halmashauri nane za Mkoa wa Ruvuma wameanza mafunzo ya siku tano ya mfumo mpya wa ununuzi wa umma (NeST) yanayofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya mji wa Mbinga.
Mafunz...
Imewekwa kuanzia tarehe: August 29th, 2023
Wakulima wa Chama cha Ushirika cha Msingi (AMCOS)cha Namtumbo mkoani Ruvuma kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani wameuza kilo 729,192 za mbaazi kwa bei ya wastani ya shilingi 1,885 kwa kilo na kuingiza...
Imewekwa kuanzia tarehe: August 29th, 2023
MENEJA wa RUWASA Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Rebman Ganshonga amesema hadi kufikia Juni 30,2023 Mkoa wa Ruvuma ulikuwa unatekeleza miradi ya maji 36 inayogharimu shilingi bilioni 58.16.
Meneja huyo wa ...