Imewekwa kuanzia tarehe: February 28th, 2025
Wanavikundi vya wajasiriamali na wafanyabiashara waliokidhi vigezo vya kupata mkopo wa asilimia kumi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wamepatiwa mafunzo ya mwisho kabla ya kupokea...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 28th, 2025
Wananchi, viongozi wa serikali, wanafunzi, na wakazi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wameungana kuadhimisha kumbukizi ya Vita ya Majimaji kupitia mdahalo maalum ulioandaliwa na Mkoa wa Ruvuma.
...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 28th, 2025
Wananchi wa Kijiji cha Kimbanga, Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, wamepata afueni baada ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoa Shilingi milioni 60 kwa ajili ya uchimbaji wa kisima cha maji safi na salam...