Imewekwa kuanzia tarehe: October 23rd, 2020
MSIMAMIZI wa Uchaguzi wa Jimbo la Peramiho Simon Bulenganija ametoa onyo kwa mawakala wa vyama vya siasa waliokusudia kuvuruga Uchaguzi Mkuu mkono wa sheria hautawaacha salama.
Bulenganija ametoa o...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 22nd, 2020
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma imetoa mafunzo ya namna ya kuripoti habari za uchaguzi Mkuu unaoatarajia kufanyika Jumatano Oktoba 28 mwaka huu.
Mafunzo hayo ...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 21st, 2020
WATANZANIA wametakiwa kutambua umuhimu wa kujitokeza kuchagua viongozi ngazi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 28 mwaka huu.
Rai hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti...