Imewekwa kuanzia tarehe: February 9th, 2025
Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Tunduru, Mkoa wa Ruvuma, umeanza kutekeleza programu ya uchimbaji wa visima 900 nchini, ambapo kila jimbo linapata visima vitano. ...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 9th, 2025
Wananchi wa mkoa wa Ruvuma wametakiwa kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayol...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 8th, 2025
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimefanya mkutano wa hadhara kwa ajili ya kuunga mkono azimio la mkutano mkuu wa chama hicho la kuwateua Dkt. Samia kuwa mgombea urais, Dkt. Emmanuel Nchimbi k...