Imewekwa kuanzia tarehe: March 2nd, 2025
Muonekano wa sekondari ya Lovund iliyopo Kilosa Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma yenye mazingira mazuri ya kuvutia ambapo wanafunzi wengi wanavutiwa na mazingira bora ya kusomea katika sekondari...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 2nd, 2025
Wanawake wa Mkoa wa Ruvuma wanatarajiwa kuhudhuria kongamano maalum litakalofanyika Machi 3,2025 katika Ukumbi wa Bombambili Manispaa ya Songea kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kongamano hili limeandaliwa...