Imewekwa kuanzia tarehe: May 15th, 2021
MAMLAKA ya Elimu Tanzania TEA imewezesha kujengwa jengo la kisasa lenye uwezo wa kuishi familia sita za walimu wa sekondari katika kijiji cha Lituhi ili kumaliza changamoto ya nyumba...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 14th, 2021
MKUU wa wilaya ya Songea Pololet Mgema amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Madaba kuhakikisha kituo cha afya Mtyangimbole ambacho serikali imetoa shilingi milioni 400 kutekeleza mradi huo,kinaanza...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 14th, 2021
Mrajis wa vyama vya Ushirika Nchini Dkt Benson Ndiege amewataka Viongozi,wanachama wa Ushirika na wakulima kuja kujifunza soko la mfumo wa stakabadhi ghalnani mkoani Ruvuma kwasababu Mkoa umefan...